Friday, June 3, 2011
WASANII WA BONGO PUNGUZENI PLAYBACK
Hakuna kitu kinanikera kama msanii kuimba na kufuatisha tu yaani'playback'.kiukwel tukitaka active performance ya wasanii wetu kupitia play back hatuwezi kupata.Naongea hayo nikiwa na ushahidi tosha kwan hvi karibun hapa moshi kulikuwa na kili music awards performance.Yaliyojiri yalinikera sana kwan hakuna msanii aliyetaka kuimba bila playback.Watanzania pia walichoka na kuhamia katika scrin kubwa apo uwanjan na kuchek mpira kati ya man u na barca.jaman embu check performance za mamton alafu relate na za bongo utakuta kuna tofaut sana katika performance ivi tanzania tumekosa nini?daaaaaaaah
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment